Description
Pata mwongozo kamili wa ramani ya nyumba ya vyumba 3, uliotengenezwa kwa mfumo unaoendana na mazingira ya Tanzania. PDF hii inaonyesha mpangilio wa nyumba, msingi, sakafu, muonekano wa mbele/nyuma/pembeni, paa, pamoja na hatua za ujenzi kuanzia foundation hadi kumalizia. Ndani ya PDF utapata: Mpangilio wa sakafu wa nyumba ya vyumba 3 Sebule, dining, jiko, veranda, store, bafu na WC Ramani ya msingi na muundo wa chini Maelezo ya foundation na sakafu Mionekano ya nyumba na mpangilio wa paa Hatua za ujenzi mpaka nyumba kukamilika Michoro na picha zinazorahisisha kuelewa Inafaa kwa nani? Inafaa kwa mtu anayepanga kujenga nyumba ya kawaida ya familia, anayetaka kupata wazo la mpangilio wa nyumba, gharama za mwanzo, au kumuelekeza fundi/mtaalamu kabla ya kuanza ujenzi. Muhimu: Ramani hii ni kwa ajili ya mwongozo na kupata wazo la ujenzi. Kabla ya kuanza kujenga, hakikisha inakaguliwa na mhandisi/architect kulingana na eneo lako, aina ya udongo na vibali vya ujenzi.