RAMANI YA BIASHARA: Mpango wa Biashara Unaovutia Mikopo na Wawekezaji

RAMANI YA BIASHARA: Mpango wa Biashara Unaovutia Mikopo na Wawekezaji

By HR BongofeyMuuzaji aliyethibitishwa · Blue VerifiedBlue Verified

TZS 1,000

Promote & Earn!
Earn commission on every referral sale (up to 30.00%). Join our Affiliate Program
Description

Wajasiriamali wengi wana mawazo mazuri lakini wanakwama wanapofika kuandika mpango wa biashara — mengine hukataliwa mikopo kwa sababu tu mpango haukuonyesha uelewa wa kina. RAMANI YA BIASHARA kinakuongoza hatua kwa hatua: muundo kamili wa sehemu nane za mpango, jinsi ya kuandika Muhtasari Tendaji unaovutia, uchambuzi wa soko na washindani bila gharama kubwa, mpango wa fedha rahisi (mtaji, makadirio ya mauzo, break-even), nyaraka za kiserikali zinazohitajika (BRELA, TIN-TRA, SIDO), makosa ya kawaida yanayofanya mipango kukataliwa, na MFANO HALISI kamili wa mpango mfupi wa biashara ya vitumbua unaoweza kuufuata kama kiolezo. Kinafaa kwa mjasiriamali anayeanza, mfanyabiashara anayehitaji mkopo, au mwanafunzi wa ujasiriamali.

Share this product
Customer Reviews
Average 0.0/5 from 0 approved review(s).
Share your experience
No approved reviews yet.

Geuza Ujuzi Wako Kuwa Kipato cha Kudumu

Jiunge na tasnia ya bidhaa za kidigitali.

Anza Sasa